AMAN VISSION
Mjadala wa Wazi: Thamani ya Elimu ya Dini na Walimu Wetu
Elimu ya Dini ya Kiislamu ndio nguzo kuu inayotengeneza mustakabali na maadili ya watoto wetu. Hata hivyo, mifumo ya Madrasa na Misikiti yetu inakabiliwa na changamoto ya kutochukuliwa kwa uzito, huku Walimu wetu (Asatidhah) wakifanya kazi kubwa katika mazingira magumu bila kuthaminiwa kimaslahi na kijamii.
Jukwaa la AMAN VISSION chini ya uongozi wa Mwalimu Wa Kiislamu: Aman Ismail Hussein, linakaribisha maoni na ushauri wako: Nini kifanyike ili kuipa thamani elimu hii na walimu wetu wathaminike?
Jukwaa la AMAN VISSION chini ya uongozi wa Mwalimu Wa Kiislamu: Aman Ismail Hussein, linakaribisha maoni na ushauri wako: Nini kifanyike ili kuipa thamani elimu hii na walimu wetu wathaminike?

No comments:
Post a Comment
Karibu kutoa maoni yako. Tafadhali andika kwa heshima, maadili na lugha yenye kujenga jamii.