AMAN VISSION

MAOMBI YA USHIRIKIANO WA WALIMU
Karibu AMAN VISSION: Tunawakaribisha walimu wabobezi na wenye nia ya dhati kujiunga nasi katika kueneza elimu sahihi ya Kiislamu. Lengo letu kuu ni kutekeleza falsafa ya "Reach Beyond Limits".

Tunatafuta washirika wenye maadili mema, uelewa mpana wa masomo ya dini, na uwezo wa kufundisha kwa ubunifu mkubwa ili kuwaandaa wanafunzi wetu katika mifumo yetu mitatu ya Kambi (Boarding), Kutwa (Day), na Online (Mtandao). Tafadhali jaza fomu hii kwa usahihi ili uongozi uweze kupitia maombi yako.
TAARIFA BINAFSI ZA MWALIMU
TAARIFA ZA TAALUMA NA UFUNDISHAJI