MATANGAZO NA TAARIFA RASMI
Kuelekea Jamii yenye Maarifa na Maadili
Tangazo Jipya
Uongozi wa Mfumo wa Elimu wa AMAN VISSION unawatangazia wazazi, walezi, na wanafunzi wote kuwa usajili wa masomo kwa muhula mpya umechochewa rasmi. Nafasi zipo wazi kwa mifumo yote ya usomaji: Kambi (Bweni), Kutwa (Day), pamoja na madarasa ya kidijitali ya Mtandaoni (Online) kwa ngazi zote za Tamhiid, Mutawassitwah, na Thaanawiy.
📝 Kusoma Taratibu na Jisajili Hapa






No comments:
Post a Comment
Karibu kutoa maoni yako. Tafadhali andika kwa heshima, maadili na lugha yenye kujenga jamii.