Wasiliana Nasi

Karibu AMAN VISSION: Tunaongozwa na falsafa ya "Reach Beyond Limits" katika kutoa elimu bora ya Kiislamu na malezi ya kiroho.

Vitengo vya Masomo yetu:
  • 1. Qur'aan na Tajwiid
  • 2. Hadiith na Sunnah
  • 3. Fiqhi na Al-Usuul
  • 4. Aqidah na Tawhiid
  • 5. Taariikh na Siirah
  • 6. Lugha ya Kiarabu (Nahwu, Swarfu, Khattw, Imla, Taabiir, Al-Kitaabah na Al-Qira'ah)
  • 7. Adyaan, Misingi ya Da‘awah na Maadili ya Kiislamu.
Mifumo ya Mafunzo: Tunafanya kazi kupitia mfumo wa Kambi (Boarding), Kutwa (Day), na Online (Mtandao) ili kuhakikisha maarifa sahihi yanakufikia popote ulipo duniani.

Namna ya Kuwasiliana: Jaza fomu hii kwa usahihi ili kutuma maombi au maswali yako moja kwa moja kwa uongozi. Mwalimu wa Kiislamu: Aman Ismail Hussein na timu yake wapo ready kukupa majibu ya haraka ili kukuongoza katika safari yako ya kielimu.

Ofisi ya Aman Vission

Mwalimu wa Kiislamu: Aman Ismail Hussein

Makao Makuu ya Aman Vission:
S.L.P. 170, Maswa.
Nchi: Tanzania | Mkoa: Simiyu
Wilaya: Maswa | Kata: Isanga
Kijiji/Mtaa: Funika