Home Fomu ya Wanafunzi wa Online Fomu ya Wanafunzi wa Online AMAN ISMAIL HUSSEIN June 17, 2026 AMAN VISSION FOMU YA USAJILI WA MWANAFUNZI WA ONLINE (MTANDAO) TAARIFA ZA MWANAFUNZI Jina Kamili * Jinsia * Chagua jinsia... Mwanaume Mwanamke Umri * Tarehe ya Kuzaliwa * Uraia * Namba ya Simu ya Kawaida * Namba ya WhatsApp ya Masomo * Barua Pepe (Email) * ANWANI YA MAKAZI (MAHALI ULIPO) Nchi * Mkoa / Jimbo * Wilaya / Mji * TAARIFA ZA MLEZI / MDHAMINI (Kama Mwanafunzi ni Chini ya Miaka 18) Jina Kamili la Mlezi / Mdhamini Namba ya Simu ya Mlezi MAANDALIZI YA MASOMO YA ONLINE Kifaa utakachokitumia kwa masomo * Chagua kifaa... Simu ya Mkononi (Smartphone) Kompyuta (Laptop/Desktop) Tablet Je, una mtandao wa internet wa uhakika? * Chagua jibu... Ndiyo Hapana Tarehe ya Kuanza Masomo * VITENGO VYA MASOMO NA ADA ZA MWEZI (ONLINE) OFFA MAALUMU: Kwa wanafunzi watakaosajili vitengo kuanzia vitatu (3) na kuendelea, kuna fursa ya kupata punguzo la gharama kulingana na maelewano maalum yatakayofanyika na Mwalimu. Qur'aan na Tajwiid — Tsh 5,000 kwa mwezi Hadiith na Sunnah — Tsh 5,000 kwa mwezi Fiqh na Usul al-Fiqh — Tsh 5,000 kwa mwezi Aqiidah na Tawhiid — Tsh 5,000 kwa mwezi Taariikh na Siirah — Tsh 5,000 kwa mwezi Lugha ya Kiarabu (Nahwu, Swarfu, Khat, Imla, Ta'biir, Al-Kitaabah na Al-Qira'ah) — Tsh 10,000 kwa mwezi Adyaan, Misingi ya Da‘awah na Maadili ya Kiislamu — Tsh 10,000 kwa mwezi Muda wa Masomo unaoomba * Chagua muda... Mwezi 1 Miezi 3 Miezi 6 Mwaka 1 Miaka 2 Miaka 3 Chagua Mwalimu Unayetaka Akufundishe * Aman Ismail Hussein MASHARTI YA MASOMO YA ONLINE 1. Ada ya kila kitengo cha masomo hulipwa kwa kila mwezi kulingana na vitengo alivyochagua mwanafunzi. 2. Mwanafunzi wa Online anapaswa kuwa na app ya WhatsApp na programu nyingine zitakazoelekezwa na mwalimu kwa ajili ya kupokea masomo na kuwasilisha kazi. 3. Ni wajibu wa mwanafunzi kuhakikisha ana bando la internet la kutosha ili kuzuia kukosa vipindi au majaribio. 4. Mwanafunzi ataruhusiwa kujionea mfumo wa masomo kwa wiki moja (Wiki ya majaribio) kabla ya kuanza kulipa ada rasmi. TAARIFA ZA KIELIMU & LENGO Kiwango chako cha sasa cha Elimu ya Kiislamu Mwanzo kabisa Cha Kati Kimeendelea Tamhiid Mutassitwah Thaanawiy Eleza kwa kifupi lengo lako la kusoma Online * AHADI YA MWANAFUNZI Ninahidi kuhudhuria vipindi vya mtandao kwa uaminifu, kufanya majaribio, automation, na kufuata miongozo yote ya mwalimu. Nimesoma masharti ya ada na uendeshaji wa masomo ya Online na niko tayari kuyatekeleza. TUMA FOMU YA ONLINE KWA WHATSAPP Tags About Author Author - AMAN ISMAIL HUSSEIN I am Best Writer
No comments:
Post a Comment
Karibu kutoa maoni yako. Tafadhali andika kwa heshima, maadili na lugha yenye kujenga jamii.