AMAN VISSION

FOMU YA USAJILI WA MWANAFUNZI WA KAMBI / BWENI
TAARIFA ZA MWANAFUNZI
ANWANI YA MAKAZI
TAARIFA ZA MLEZI / MDHAMINI
TAARIFA ZA AFYA
MFUMO WA MASOMO
VITENGO VYA MASOMO NA ADA ZA MWEZI
OFFA MAALUMU: Kwa wanafunzi/wazazi watakaosajili vitengo kuanzia vitatu (3) na kuendelea, kuna fursa ya kupata punguzo la gharama kulingana na maelewano maalum yatakayofanyika na Mwalimu.
MASHARTI YA ADA NA MASOMO
1. Ada ya kila kitengo cha masomo hulipwa kwa kipindi cha mwezi mmoja tu kulingana na kitengo au vitengo alivyochagua mwanafunzi.
2. Ada hizi hutumika kusaidia uendeshaji wa masomo, ikiwemo maandalizi ya majaribio ya kila siku, mitihani ya kila wiki na mitihani ya mwisho wa mwezi kwa kila kitengo cha masomo.
3. Mwanafunzi ataruhusiwa kujionea mazingira na mfumo wa masomo kwa muda wa wiki moja kabla ya kuanza kulipa ada.
4. Mwanafunzi anaruhusiwa kuchagua kitengo kimoja au zaidi ya kimoja wakati wa usajili.
5. Baada ya kuanza rasmi masomo, mwanafunzi hataruhusiwa kuongeza kitengo kipya mpaka amalize kipindi cha masomo ya vitengo alivyovisajili.
6. AMAN VISSION itamuwezesha mwanafunzi kupata sehemu ya kulala (malazi) bila malipo katika kipindi chote cha mafunzo.
7. Mwanafunzi anapowasili kituoni anatakiwa kuja na mahitaji yake muhimu ya binafsi, ikiwemo mavazi ya heshima yanayozingatia maadili ya Kiislamu, tandiko la kulalia na mahitaji mengine muhimu ya matumizi ya kila siku.
8. Mwanafunzi atapatiwa kifungua kinywa pamoja na chakula cha mchana bila malipo. Chakula cha usiku kitakuwa jukumu la mwanafunzi mwenyewe.
9. Wanafunzi wote wanatarajiwa kuzingatia ratiba za masomo, maadili ya Kiislamu, nidhamu, usafi na taratibu zote za kituo katika kipindi chote cha mafunzo.
TAARIFA ZA KIELIMU
LENGO LA KUJIFUNZA
AHADI YA MWANAFUNZI