AMAN VISSION

FOMU YA USAJILI WA MWANAFUNZI WA DAY / KUTWA
TAARIFA ZA MWANAFUNZI
ANWANI YA MAKAZI
TAARIFA ZA MLEZI / MDHAMINI
TAARIFA ZA AFYA
MFUMO WA MASOMO
VITENGO VYA MASOMO NA ADA ZA MWEZI
OFFA MAALUMU: Kwa wanafunzi/wazazi watakaosajili vitengo kuanzia vitatu (3) na kuendelea, kuna fursa ya kupata punguzo la gharama kulingana na maelewano maalum yatakayofanyika na Mwalimu wa Kiislamu: Aman Ismail Hussein.
MASHARTI YA ADA NA MASOMO
1. Ada ya kila kitengo hulipwa kwa kipindi cha mwezi mmoja kulingana na kitengo au vitengo alivyochagua mwanafunzi.
2. Ada hizi husaidia uendeshaji wa masomo, majaribio ya kila siku, mitihani ya kila wiki na mitihani ya mwisho wa mwezi kwa kila kitengo.
3. Mwanafunzi ataruhusiwa kujionea mazingira na mfumo wa masomo kwa muda wa wiki moja kabla ya kuanza kulipa ada.
4. Mwanafunzi anaruhusiwa kuchagua kitengo kimoja au zaidi wakati wa usajili.
5. Baada ya kuanza rasmi masomo, mwanafunzi hataruhusiwa kuongeza kitengo kipya mpaka amalize kipindi cha masomo ya vitengo alivyovisajili.
6. Wanafunzi vya mfumo wa Day/Kutwa watahudhuria masomo kwa ratiba rasmi ya kituo na kurejea makwao baada ya vipindi vya masomo kumalizika.
7. Wanafunzi wote wanatarajiwa kuzingatia maadili ya Kiislamu, nidhamu, usafi, heshima kwa walimu na ratiba zote za masomo.
8. AMAN VISSION ina haki ya kufanya marekebisho ya ratiba au taratibu za masomo pale itakapolazimu kwa manufaa ya wanafunzi na maendeleo ya elimu.
TAARIFA ZA KIELIMU
LENGO LA KUJIFUNZA
AHADI YA MWANAFUNZI