AMAN VISSION
Mjadala wa Wazi: Mchango wa Wazazi katika Kufanikisha Masomo ya Madrasa
Uzoefu unaonesha kuwa wazazi wengi wamekuwa weepesi sana kugharamia na kufuatilia maendeleo ya watoto wao kwenye shule za kawaida (Academic Schools), lakini wanakuwa wazito sana linapokuja suala la kuchangia huduma na kufuatilia masomo ya watoto wao wanapokuwa Madrasa.
Jukwaa la AMAN VISSION chini ya uongozi wa Mwalimu wa Kiislamu: Aman Ismail Hussein, linakaribisha maoni yako leo: Je, nini kifanyike ili kuamsha ari ya wazazi kuwa mstari wa mbele kufuatilia na kugharamia elimu ya dini ya watoto wao kwa uzito ule ule wa shule za kawaida?

No comments:
Post a Comment
Karibu kutoa maoni yako. Tafadhali andika kwa heshima, maadili na lugha yenye kujenga jamii.